Apr 30, 2021

Christina Mndeme ateuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM- Bara

 


Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM katika kikao chake maalumu kilichoketi leo baada ya Mkutano Mkuu wa Chama hicho chini ya Mwenyekiti Samia Suluhu imeridhia mapendekezo yaliyotolewa na Mwenyekiti (Rais Samia) katika Sekretarieti Kuu kuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ndiye Naibu Katibu Mkuu wa CCM- Bara.

KWA HABARI ZAIDI <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger