"Mwenyezi Mungu hakuumba ubongo dhaifu kwa mwanamke na ubongo makini kwa mwanaume hapana- Rais Samia
Rais amesema umakini wa mtu huletwa na mazingira aliyolelewa, na akasisitiza kwamba yeye amelelewa kwenye mazingira sahihi na kupata uzoefu kwenye chama chake (@ccmtanzania)
Alisema hayo akisisitiza kwamba hii ni mara yetu ya kwanza kuwa na Rais mwanamke, lakini hatupaswi kuwa shaka yoyote.
0 Comments