Apr 19, 2021

Rais Samia amwapisha Balozi Mteule Yusuph Mndolwa Tindi kuwa Balozi na kuwa Mkuu wa Itifaki


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemuapisha aliyekuwa Balozi Mteule Yusuph Mndolwa Tindi kuwa Balozi na kuwa Mkuu wa Itifaki (Chief of Protocol-CP), leo tarehe 19 Aprili, 2021, asubuhi hii, Ikulu ya Chamwino Dodoma.

KWA HABARI ZAIDI <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger