May 4, 2021

BASATA waupiga stop wimbo wa 'mama' wa Nay wa Mitego


Wimbo wa Nay wa mitego “Mama” wakwama BASATA kutokana na kukosa vigezo baada ya kukaguliwa.

Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) kupitia kaimu katibu mtendaji Matiko Mniko alitangaza kuwa kuanzia tarehe 1 mei wataanza kutumia kanunu ya kuzipitia nyimbo mpya za wasanii wote Tanzania kabla ya  kupelekwa kwenye vituo vya Redio na Runinga.

Jamatatu mkali huyo wa hip hop alikuwa aachie kazi yake mpya lakini hakufanya hivyo baada ya wimbo huo kukwama kutokana na marekebisho ambayo ameamriwa na baraza kuyafanya.

KWA HABARI ZAIDI <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger