Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango akutana na Waziri Simbachawene

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. George Simbachawene, wakati Mhe. Simbachawene alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo Mei 04,2021.
 

Post a Comment

0 Comments