Makondakta muwaambia vijana waliokaa kwenye viti wasimame na kuwapisha wazee kwenye mabasi - Rais Samia


"Inashangaza katika mabasi ya mwendokasi kukuta vijana wamekaa kwenye viti lakini wazee wamesimama na kushikilia mabomba. Makondakta pia wawe wanawambia vijana waliokaa kwenye viti wasimame na kuwapisha wazee." - Rais Samia akizungumza na wazee wa Dar es Salaam.

Post a Comment

0 Comments