Breaking: Rais Samia atengua uteuzi wa RC Chalamila


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 11 Juni 2021 ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Albert Chalamila na nafasi inachukuliwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhandisi Robert Gabriel Luhumbi

Post a Comment

0 Comments