Jun 8, 2021

Diva atambulishwa Wasafi FM , anunuliwa gari na Damond mshahara wake ni mara tatu ya alokuwa akilipwa Clouds

  Muungwana Blog 3       Jun 8, 2021

 


Yametimia! Hatimaye Mtangazaji mahiri kwenye tasnia ya habari nchini, Diva ambaye alkuwa anafanya kaz Clouds sasa ni mtangazaji wa kituo cha Wasafi Fm.

Diva ametambulshwa jana usku huu na kituo hicho cha Wasafi.

Diva atakuwa nahodha wa kipindi kipya ndani ya Wasafi Fm kiitwacho LaviDavi ambacho kitakuwa kikiruka kila Jumatatu - Ijumaa, Saa 4 - 6 Usiku

"Nitaendelea kumuheshimu Diamond kwasababu sasa ni Boss wangu na amenipa Value ambayo sijawahi kuipata katika Career yangu,  Walivyosema wanataka kufanya kazi na mimi Diamond aliniuliza Nataka nini . Nikataja mavitu kibao, mshahara mara 3 niliokua nalipwa na gari juu ila Diamond hakutaka mazungumzo Mengi akasema nipewe ninachotaka "  alsema diva.

 Dva amesema kwamba amenunulwa gar na Damond na Ndingahyo imenunulwa CASH ! na alikuwa suprised kutokana na upya wa gari hilo .

logoblog

Thanks for reading Diva atambulishwa Wasafi FM , anunuliwa gari na Damond mshahara wake ni mara tatu ya alokuwa akilipwa Clouds

Previous
« Prev Post

No comments:

Post a Comment