Jun 10, 2021

Napendekeza kusamehe kodi ya ongezeko la thamani kwenye nyasi bandia- Waziri wa fedha

  Muungwana Blog 3       Jun 10, 2021


"Napendekeza kusamehe kodi ya ongezeko la thamani kwenye nyasi bandia kwa ajili ya Viwanja vya mpira vilivyopo kwenye majiji, msamaha huo utahusisha ridhaa kutoka shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, lengo la hatua hii ni kuendeleza michezo na kukuza michezo hapa nchini" - Waziri wa Fedha na Mipango nchini Tanzania, Dk. Mwigulu Nchemba akizungumzia msamaha wa kodi eneo la michezo.


logoblog

Thanks for reading Napendekeza kusamehe kodi ya ongezeko la thamani kwenye nyasi bandia- Waziri wa fedha

Previous
« Prev Post

No comments:

Post a Comment