Jun 10, 2021

Napendekeza kusamehe kodi ya ongezeko la thamani kwenye simu janja za mkononi- Waziri wa fedha

  Muungwana Blog 3       Jun 10, 2021

 


“Napendekeza kusamehe kodi ya ongezeko la thamani kwenye simu janja za mkononi, vishikwambi na modemu ili kuhamasisha matumizi ya huduma za mawasiliano ili kufikia lengo la asilimia 80 ya watumiaji wa intaneti ifikapo mwaka 2025" - Waziri wa Fedha na Mipango Dk Mwigilu Nchemba

logoblog

Thanks for reading Napendekeza kusamehe kodi ya ongezeko la thamani kwenye simu janja za mkononi- Waziri wa fedha

Previous
« Prev Post

No comments:

Post a Comment