Jun 10, 2021

Waziri apendekeza kupunguza ushuru wa bidhaa kwenye bia

  Muungwana Blog 3       Jun 10, 2021


 “Napendekeza kupunguza ushuru wa bidhaa kwenye bia zinazotengenezwa kwa kutumia shayiri iliyozalishwa hapa nchini kutoka Sh765 kwa lita za sasa hadi Sh620 kwa lita, lengo la mapendekezo haya ni kuchochea kilimo cha shayiri hapa nchini,” - Mwigilu Nchemba,Waziri wa Fedha na Mipango

logoblog

Thanks for reading Waziri apendekeza kupunguza ushuru wa bidhaa kwenye bia

Previous
« Prev Post

No comments:

Post a Comment