Jul 21, 2021

Askofu avid Oyedepo, wa kanisa la Living Faith Church, kwa jina jingine Winners Chapel, amezungumzia utawala wa raisMuhammadu Buhari . Kiongozi huyo wa kidini amesema kwamba alikuwa amutumwa na Mungu kuwaonya raia wa igeria dhidi ya kumchagua rais Buhari mwaka wa 2015 . Alidai kwamba Buhari sio kiongozi ambaye anayajali maslahi ya raia wa Nigeria . Askofu huyo aliyasema hayo mwishonimwa wiki akihubiri katika katikaJimbo la Ogun kusini mwaNigeria . Alisema kwambawanigeria walipuuza onyo yake kuhusu kumchagua Buhari . ‘Wakati mwingine nabii anapozungumza ,watu wanafaa kumsikiliza ‘ alisemaOyeepo Alisema wakati alipotoa utabiri wake kuhusu serikali ya Buhari watu wengi walimshambulia lakini sasa yote yanayofanyka nchini humo yametimizautabiri wake . Oyedepoamesema aliona majanga mengi chini ya utawala wa Buhari kabla hata rais huyo hajachaguliwa kuingia madarakani Article share tools

  Muungwana Blog       Jul 21, 2021


Askofu avid Oyedepo, wa kanisa la Living Faith Church, kwa jina jingine Winners Chapel, amezungumzia utawala wa raisMuhammadu Buhari .


Kiongozi huyo wa kidini amesema kwamba alikuwa amutumwa na Mungu kuwaonya raia wa igeria dhidi ya kumchagua rais Buhari mwaka wa 2015 .


Alidai kwamba Buhari sio kiongozi ambaye anayajali maslahi ya raia wa Nigeria . Askofu huyo aliyasema hayo mwishonimwa wiki akihubiri katika katikaJimbo la Ogun kusini mwaNigeria .


Alisema kwambawanigeria walipuuza onyo yake kuhusu kumchagua Buhari .


‘Wakati mwingine nabii anapozungumza ,watu wanafaa kumsikiliza ‘ alisemaOyeepo


Alisema wakati alipotoa utabiri wake kuhusu serikali ya Buhari watu wengi walimshambulia lakini sasa yote yanayofanyka nchini humo yametimizautabiri wake .


Oyedepoamesema aliona majanga mengi chini ya utawala wa Buhari kabla hata rais huyo hajachaguliwa kuingia madarakani
logoblog

Thanks for reading Askofu avid Oyedepo, wa kanisa la Living Faith Church, kwa jina jingine Winners Chapel, amezungumzia utawala wa raisMuhammadu Buhari . Kiongozi huyo wa kidini amesema kwamba alikuwa amutumwa na Mungu kuwaonya raia wa igeria dhidi ya kumchagua rais Buhari mwaka wa 2015 . Alidai kwamba Buhari sio kiongozi ambaye anayajali maslahi ya raia wa Nigeria . Askofu huyo aliyasema hayo mwishonimwa wiki akihubiri katika katikaJimbo la Ogun kusini mwaNigeria . Alisema kwambawanigeria walipuuza onyo yake kuhusu kumchagua Buhari . ‘Wakati mwingine nabii anapozungumza ,watu wanafaa kumsikiliza ‘ alisemaOyeepo Alisema wakati alipotoa utabiri wake kuhusu serikali ya Buhari watu wengi walimshambulia lakini sasa yote yanayofanyka nchini humo yametimizautabiri wake . Oyedepoamesema aliona majanga mengi chini ya utawala wa Buhari kabla hata rais huyo hajachaguliwa kuingia madarakani Article share tools

Previous
« Prev Post

No comments:

Post a Comment