Jul 21, 2021

Mlipuko katika kiwanda cha asidi Ukraine

  Muungwana Blog       Jul 21, 2021

 


Mlipuko umetokea katika kiwanda cha asidi ya nitriki huko Rivne, Ukraine.


Kulingana na ripoti za mwanzo, hakuna mtu aliyeuawa au kujeruhiwa katika tukio hilo, lakini mawingu ya moshi wa yalifunika anga baada ya mlipuko huo.


Imeelezwa kuwa mlipuko huo ulisababishwa na shinikizo ghafla kwenye bomba.


Imeelezwa pia kwamba moshi haukuwa hatari kwa maisha ya watu wa mkoa huo.


Wakati wafanyikazi wa kiwanda hicho wakiwa wamehamishwa, uchunguzi umeanzishwa juu ya tukio hilo.

logoblog

Thanks for reading Mlipuko katika kiwanda cha asidi Ukraine

Previous
« Prev Post

No comments:

Post a Comment