.

.

Jul 27, 2021

Mugalu achaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Julai

  Muungwana Blog 3       Jul 27, 2021


Mshambuliaji wa Simba Chris Mugalu amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Julai ndani ya Ligi Kuu Bara. 

Ndani ya mwezi Julai, Mugalu aliweza kufunga mabao matano katika mechi tano ilishinda mechi tatu, sare moja na ilipoteza mchezo mmoja.

Aliwashinda wawili alioingia nao fainali ambao ni Charlse Ilanfya wa KMC na Juma Luizio wa Mbeya City.

 

logoblog

Thanks for reading Mugalu achaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Julai

Previous
« Prev Post

No comments:

Post a Comment