REBECA DUWE TANGA
Mkuu wa mkoa waTanga Balozi Dkt Batlida Buruhani amekabidhi mradi Bilioni 31.9 wa Ujenzi wa miundo mbinu ya barabara na Masoko kuwataka wakandarasi wote wanaosimamia ujunzi mradi huo kutenkeleza nradi wa kwa wakat0i ili kuimarisha maendeleo yaJiji.
Akizungumza Sokoni hapo alisema kuwa mradi huo mkataba wake ulisainiwa tangu mwezi wa sita mwaka huuu ambao ni mradi uliojikita katika uboreshaji wa miundo mbinu ya Bara na Masoko, ikiwemo barabara kil.4.3 mifereji mikubuwa soko la samaki la Deepsee jijini Tanga.
Aliongeza kusema kuwa lengo Serikali ni kuwaboreshea wananchi kazi ya uzalishaijj kupitia masoko na kuongeza mapato ya jiji la Tanga hivyo timu ya usimamizi wa mradi wasimamie miradi utekelezaji kwa wakati na kwa finish mkubwa.
kwa upande wake Mukurugenzi wa jiji la Tang Juma Hamsini alisema kuwa kuna miradi mikubwa ikiwemo Masoko ambayo yana lengo la kuimarisha maendeleo ya Jiji la Tanga bilioni 38 soko la mgandini ambayo inatarajiwa baada ya mwezi kumi na moja kuwez kukabidhi kwa kwa mkandasi .
Aidha aliwatoa hofu wafanyabiashara sokoni hapo watu kwani ni lazima watambua biashara zao na waweze kujua idadi yao ili kuweza uendelea kufanya biashara kwani kwa upande wa uropion union wametoa Uro milioni Tano kwaajili ya kuwatengneza kwa watu waweze kuhamia huko.
Alisema kuwa wao kama Halmashauri ya jiji la Tanga watazingatia wafanyabiashara hao hafadhaiki sehema watakayoanza kuhamia baada ya kupisha ujenzi itahakikishwa inawekwa miundombinu ya vyoo kwa usalama afya zao.
0 Comments