F Mafuriko ya watu mkutano wa kampeni za Mgombea Urais CCM. | Muungwana BLOG

Mafuriko ya watu mkutano wa kampeni za Mgombea Urais CCM.


Oktoba 3,2025 maelfu ya wananchi kutoka Wilaya ya Hanang'  mkoani Manyara walijitokeza kwa wingi Katika viwanja vya Mount Hanang' mji mdogo wa Katesh kumsikiliza Mgombea Urais Dkt Samia Suluhu Hassan akinadi ilani ya Chama hicho 2025-2030 kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 mwaka. 


Post a Comment

0 Comments