Jana August 1,2015 Wanachama wa chama cha Mapinduzi (CCM)
nchi nzima wanakusanyika katika maeneo ya matawi yao kuchagua mgombea mmoja atakayeshindana na
wagombea wengine kutoka vyama tofauti na CCM.
Mchakato wa kampeini katika mkoa huu zimetawaliwa na
vituko,udhalilishaji kwa baadhi wa wagombea hivyo hata upigaji kura za maoni
utakuwa hivo hivyo,hii ndiyo sababu inatufanya tufuatilie kura hizi.
1. Mwigulu - Iramba
2. Nape - Mtama
3. Mwakasaka - Tabora Mjini
4. Mama Sitta - Urambo
5. Kadutu - Ulyankulu
6. Bashe - Nzega
7. Ngeleja - Sengerema
8. Seif - Igunga ktk jimbo jipya.
9. Masaburi - Ubungo
10. Patel - Ukonga
11. Prof Kamala - Nkenge, Misenyi
12. Kagasheki - Bukoba mjini
13. Lukuvi - Isimani
14. January - Bumbuli
15. Muhongo - Musoma vijijini
16. Ndugai - Kongwa
17. Chumi - Mafinga
18. Kigola - Mufindi kusini
19. Mgimwa - Mufindi kaskazini
20. Filikunjombe - Ludewa
21. Mgimwa - Kalenga...
22. Lusinde - Mtera
23. Imani Moshi - Kaliua
24.Mwakasaka -Tabora mjini
25.Fenala Mkangara -Kibamba
26.Mapunda-Mbinga mjini
27.Masele -Kahama
28.Antony
Mavunde-Dodoma
29.Said Fella-Kilungule
