Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli
akihutubia wakazi wa Shinyanga mjini waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa
kampeni za CCM uliofanyika kwenye uwanja wa Kambarage ambapo aliwaambia
wananchi hao kuwa wakati umefika wa kujenga Tanzania mpya yenye viwanda vya
kutosha kutoa ajira kwa vijana wengi.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Shinyanga kwenye mkutano wake wa Kampeni ambapo aliwaambai wananchi hao kuwa serikali yake itakuwa ya kufanya kazi zaidi kwa maendeleo ya nchi.
Wasanii wakipiga push up jukwaani kabla ya mgombea wa urais kupitia CCM hajahutubia.
Alisema pia kuwa Serikali yake itakuwa rafiki wa sekta
binafsi na kuwajengea uwezo wafanya biashara ndogo ndogo ili waweze
kujiendeleza.
Wasanii wakipiga push up jukwaani kabla ya mgombea wa urais kupitia CCM hajahutubia.


