Nchi ya marekani inadeni la Dollar Trilion $18,149,340,553,000. ni sawasawa na Dollar elf $55,622. kwa kila raia.
Mchoro ukionyesha jinsi deni la marekani linavyo kuwa kila mwaka kwanzia 2004 mpaka ifikapo 2019.
inakadiriwa nchi ya Marekani itakuwa na deni la Trilion 25.4 ifikapo mwaka 2022.