Sakata la kutajwa kwa Mbowe Katika List ya Madawa ya kulevya iliyotangazwa na Paul Makonda lazidi kuchukua Sura Mpya baada ya Mbowe Kufunguka Haya:
"Nina mipango wa kudai fidia kwa kuchafuliwa jina, hilo liko wazi nilisema toka siku ya kwanza kwa hiyo mpango huo lazima tutautekeleza" Mhe. Freema Mbowe.

VIDEO: MCHINA AIMBISHWA SINGELI NA MADADA WA USWAZI