BREAKING NEWS: Rais Magufuli amfuta kazi Katibu mkuu Wizara ya Nishati na Madini


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli atengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Profesa Justin Ntalikwa ambaye uteuzi wake umetenguliwa na Rais Dkt Magufuli kuanzia leo.


Mpya zaidi Nzee zaidi