Picha hii ya Beyonce kwa sasa ina mashabiki milioni 10 kwenye mtandao wa Instagram.
Msanii wa urembo Jazmina Daniel, alifurahishwa na picha hiyo, yenye mashabiki wengi zaidi kwenye mtandao wa Instagram, na ilimchukua zaidi ya masaa manne kuichora kwenye midomo yake.
Alichora picha nzima ya Beyonce na kujumuisha pande zote za picha hiyo ya mwanamuziki huyo mjamzito.
Msanii achora picha ya Beyonce kwenye midomo yake
Aliichapisha mwanzo wa mwezi Februari, alipotangaza kuwa yeye na mumewe Jay Z wanawatarajia watoto mapacha.

