London. Mabingwa wa Ufaransa, Paris Saint-Germain wanajiandaa kutoa ofa ya kumchukua mshambuliaji wa Liverpool, Daniel Sturridge.
PSG wana nafasi ya kumpata kwa sababu Liverpool inafikiria kuachana na nyota huyo wa kimataifa wa England.
Sturridge amepungukiwa na makali yake katika utawala wa kocha, Jurgen Klopp huku akiwa amecheza mechi 14 tu za Ligi Kuu msimu huu na klopp amekuwa aiwatumia zaidi mastaa wake, Sadio Mane, Adam Lallana, Roberto Firmino na Adam Lallana.
Inasemekana kuwa Tottenham na Arsenal pia zinaweza kumuwinda staa huyo wa zamani wa Manchester City na Chelsea na dau lake linaweza kuwa juu ya pauni 25 milioni wakati huu Klopp akiwinda mshambuliaji mpya.

***********
Chakufanya ni Kubofya Link hapo chini na Ufate Maelekezo ya Jinsi ya Kuweza Kuwa Mshindi wa Gari hilo..
Kisha Jisajili kwa Kuweka Jina na Email Yako... USIWE NA WASIWASI HUDUMA HII NI SALAMA KABISA..
Umeshawahi Kufikiria Kupata Gari la Bure bila Kulipa Chochote, Basi hii Kampuni ya Cars From Japan Wanakupa Nafasi Hiyo ...