Ronaldinho Gaucho Aachia wimbo mpya, usikilize hapa..


Kutoka kwenye soka hadi muziki. Mchezaji bora wa dunia mwaka 2005, Ronaldo de Assis Moreira maarufu kama Ronaldinho Gaucho ameamua kuingia kwenye tasnia ya muziki kwa kuachia wimbo wake wa kwanza ‘Sozinho’.

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items