Shabiki wa West Ham Aliyetaka Kuwavamia Wachezaji wa Chelsea
byUnknown-
0
Polisi wakimdhibiti shabiki wa West Ham (kushoto) aliyetaka kuwavamia Diego Costa na wachezaji wenzake wa Chelsea wakati wanashangilia bao la pili katika ushindi wa 2-1 ugenini Uwanja wa London kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England.