Mwili wa mtu mmoja wapatikana kati ya waliofukiwa na kifusi
byUnknown-
0
Jitihada za kuwaokoa watu wawili waliofukiwa na kifusi Machimbo yasiyo rasmi ya Kokoto Pugu Golani, DSM, bado zinaendelea, mpaka sasa umepatikana mwili wa mtu mmoja anaefahamika kwa jina la Rashidi Fadhili.