VIDEO: "Hali ya Roma sio Nzuri, anamikwaruzo Mwili mzima "


Hali ya Afya ya Mwanamziki Roma Mkatoliki haiko mujatabu kutokana na kuonekana kuwa amechoka na majeraha kwenye mwili wake .

Taarifa hizo zimetolewa jioni hii na wakili wake Jebra Kambore ambaye ameleeza kuwa walitaka kujua maendeleo ya mteja wao na kuonekana kuwa sio mzuri.


Mpya zaidi Nzee zaidi