BAADA ya Taharuki ya kutekwa kwa Msanii wa Bongo Hip Hop Ibrahim Mussa (Roma) na wenzake Naye wa mitego ameeleza kuwa pamoja na kuwa kuna hofu kwenye nyoyo za wasanii na wanaharakati mbalimbali lakini yeye ameweka wazi kuwa atalindwa na watanzania.
hayo ameeleza leo wakati alipokuwa akifuatulia taarifa za uwepo wa Roma kwenye kituo cha Polisi cha Osterbay jijini Dar es Salaam.
Nay amesema kuwa amefurahi kusikia wasanii hao wamepatikana wakiwa hai pamoja na kwamba leo atapata usingizi.
