Bondia wa Kimataifa nchi Tanzania Amos Mwamakula (Super Kyela) anatarajia kupeperusha bendera ya taifa kwenye pambano analotarajiwa kupambana tarehe 8 Mwezi mwezi agosti mwaka huu zidi ya Bondia Odson Kayuniwe kutoka nchini Malawi.
Super Kyela amekuwa atapanda Ulingoni kuwania Mkanda wa ubo intanational, katika ukumbi wa Travel Trine Magomeni jijini Dar es Salaam,
Bondia huyo machachali amepambana mapambano 25 kashinda 15, amepoteza 8 na kutoa suluhu 2 , ambapo mpinzani wake amepambana mapambano 23 na kupoteza mapambano saba na kutoa suluhu mapambano mawili
