Nchii hii imepiga kura kuruhusu Polisi wakike kuvaa Hijab

Wabunge nchini Uholanzi wapinga pendekezo la mkuu wa idara ya polisi Amsterdam kuhusu kuruhusiwa kwa wanawake polisi ambao ni waislamu kuvaa vazi lao la hijab.

Takriban vyama 6 vya kisiasa pia vinapinga vikali pendekezo hilo la kuruhusu hijab kuwa mojawapo ya vazi miongoni mwa polisi wa kike waislamu katika vazi rasmi la polisi .

Siku ya Alhamis kamishna mkuu wa polisi kwa jina la Pieter-Jaap Aalbersberg alifahamisha kuwa angependa vazi rasmi la kuwa na ishara za kitamaduni miongoni mwao ni vazi la hijabu la uislamu, msalaba kwa wakristo na pia ishara za dini ya mayahudi.


Mpya zaidi Nzee zaidi