TANESCO YATOA TAHADHARI KIPINDI HIKI CHA MVUA


Shirika la Umeme Tanesco linapenda kutoa tahadhari kwa wateja wake kuzingatia yafuatayo kipindi hiki cha mvua nyingi.

Pia Shirika linaomba radhi wateja wake wa maeneno mbalimbali ambao wametoa taarifa na wataalam wetu kuchelewa kufika, Hii inatokana na ugumu uliopo wa kupita baadhi maeneo yaliyoathirika na mvua.

Soma hapa chini:


Shirika linaomba radhi wateja wake wa maeneno mbalimbali ambao wametoa taarifa na wataalam wetu kuchelewa kufika, Hii inatokana na ugumu uliopo wa kupita baadhi maeneo yaliyoathirika na mvua.
Mpya zaidi Nzee zaidi