Acacia imetangaza kuwa imepata hasara ya Tsh 391.9 bilioni katika kipindi cha miezi 6 kutokana na kuzuiwa kusafirisha makinikia nje ya nchi.
Rais John Magufuli amezuia usafirishaji wa Makinikia kwenda nje nchi kutokana hujuma zilizokuwepo kwenye Usafirishaji huo.
Awali Rais Magufuli aliunda Tume ya kuchunguza kiasi kilichokuwa kikisafirishwa na jinsinchi inavypata hasara.
baadaye Kamati zote mbili zilirejesha Repoti na Kubaini kuwa kuna Hasara kubwa ambayo nchi imepata.
