Sadio Mane aipaisha Liverpool

Sadio Mane akiifungia Liverpool bao pekee la ushindi dakika ya 73 ikiilaza Crystal Palace 1-0 leo Uwanja wa Anfield katika mchezo wa Ligi Kuu ya England.
Mpya zaidi Nzee zaidi