Watu 7wafariki na wengine wengi wajeruhiwa katika maandamano ya upinzani katika miji tofauti nchini Togo
watu 7a waripotiwa kufariki na wengine kujeruhiwa katika maandamano yaliotolewa wito na upinzani nchini Togo.
Maandamano hayo ya upinzani yalitolewa wito na upinzani ambao ulifahamisha kuwa ulitoa wito wa maandaman ukitaka kurejeshwa na katiba ya mwaka 1992.
Polisi iliingilia kati maandamano hayo na kusababisha ghasia baana ya Polis ina waandamanaji.
Hakuna taarifa iliotolewa rasmi kuhusu watu waliofariki katika maandamanao hayo.