Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 8 katika kipimo cha Richter limekumba Mexico na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 60
Tetemeko hilo limetokea Ijumaa Kusini mwa Mexico.
Msimamizi wa kitengo kunahusika na kulinda raia Luis Felipe Puente amesema kuwa watu 45 walifariki katika jimbo la Oaxaca.
Hapo awali serikali ilikuwa imetanga vifo vya watu 33.
Ikumbukwe kuwa mnamo mwaka 1985 watu zaidi ya 10 000 walifariki katika tetemeko la ardhi.