Nyumbani Breaking News: Rais Robert Mugabe amejiuzulu byMuungwana Blog 2 -11/21/2017 07:08:00 PM 0 Katika dakika chache zilizopita , spika wa bung la Zimbabwe ametangaza kuwa rais Robert Mugabe amejiuzulu . Kumekuwa na shangwe miongoni mwa wabunge kufuatia tangazo hilo. harakati za kumuondoa madarakani rais huyo kupitia bunge kumesitishwa. Facebook Twitter