Ndege hiyo iliruka kipindi kati ya dakika 45 hadi saa mbili.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka kituo cha redio ya kimataifa ya China, ndege aina ya RX1E-A iliyoundwa na Chuo Kikuu cha masuala ya anga ya Shenyang imeruka kutoka uwanja wa ndege wa Caihu huko mkoani Shenyang mji mkuu wa Liaoning.
Kwa mujibu wa makamu wa rais wa Liaoning General Aviation Academy, Zou Haining ni kwamba uboreshaji wa ndege huo ni hatua ya kuingia katika masoko ya Marekani na Ulaya.
Ndege hiyo ambayo ina uwezo wa mwendo wa kilomita 160 kwa saa , itaweza kutumika kwa ajili ya mafunzo ya urubani, usafiri , utalii na kupiga picha za anga.