Nyumbani Rais Magufuli afanya uteuzi huu byMuungwana Blog 2 -11/21/2017 07:00:00 PM 0 Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli amemteua Bw. Edwin Novath Rutageruka kuwa Mkurugenzi wa TANTRADE. Facebook Twitter