FULL VIDEO: Miili ya wanajeshi 14 ilivyoagwa Dar

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo ameongoza waombelezaji kuaga miili ya Wanajeshi 14 wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania ambao waliuawa nchini DR Congo walipokuwa wakilinda amani kwa kushirikiana na majeshi ya Umoja wa Mataifa.


Mpya zaidi Nzee zaidi