Nyumbani BREAKING NEWS: Waziri Mkuu wa Ethiopia ajiuzulu byMuungwana Blog 2 -2/15/2018 03:24:00 PM 0 Waziri mkuu nchini Ethiopia Hailemariam Desalegn Imedaiwa kuwa kiongozi huyo aliwasilisha barua yake ya kujiuzulu kwa chama chake cha Ethiopia People's Demecratic front. Hatahivyo haijabainika iwapo chama hicho kimekubali uamuzi wake au la Facebook Twitter