Haya Ndiyo Makundi ya watumiaji Umeme na Bei zao


Kuna makundi manne ya watumiaji wa umeme

-D1 (UNIT 0-75) BEI NI TSH 100 KWA UNIT IKIZIDI UNIT 75 INAKUWA TSH 350 (YAANI UMEME WA 9150 KWA MWEZI)

-T1 UNIT zaidi ya 75 to 7500 Bei ni 292 per unit,Hakuna tozo ya kila mwezi

-T2 Gharama kwa mwezi ni 14,233, gharama ya umeme kwa ni 195 kwa unit

T3- M – gharama ya huduma kwa mwezi ni 16,769 na bei ni tsh 157 kwa unit

T3-gharama ya huduma kwa mwezi ni 16,550 na bei ni 152 kwa unit

Bei zote ni bila VAT 18% REA 3% na EWURA 1%

Wateja waliopo kundi la D1 yaani matumizi chini ya unit 75 kwa mwezi wanapaswa kununua umeme wa 9150 kwa mwezi ili kubaki kundi hilo endapo watazidi hapo watapelekwa kundi la T1 ambalo pi ni matumizi ya kawaida ya nyumbani.

ZINGATIA

MTEJA AKITOLEWA KUNDI LA D1 KWENDA T1 HARUDISHI TENA KWA MUJIBU WA SHERIA