Shalo Mwamba amchukua Husna Sajenti mbele ya Makabila

Mfalme wa muziki wa Singeli, Sholo Mwamba amempindua msanii mwenzake wa singeli Dulah Makabila na kumchukua mpenzi wake Husna Sajenti.

Sholo Mwamba amesema kuwa Husna Sanjeti hana ujauzito wa Dulah Makabila na kuwa Makabila hakuwa na uwezo wa kumpa ujauzito Husna Sajenti ndiyo maana mpaka sasa yeye amemkuta akiwa hana ujauzito wowote ila ameomba yeye apewe mwezi mmoja tu kisha watu wataona matokeo.
Mpya zaidi Nzee zaidi