Urusi yathibitisha vifo vya wanajeshi wake watano

Waziri wa mambo ya nje wa Urusi amethibitisha vifo vya wanajeshi watano  katiak shambulizi la jeshi la ushirika  dhidi ya ugaidi Syria linaloongozwa na Marekani.

Shambulizi hilo lililopelekea wanajeshi hoa kufariki lilitekelezwa wiki iliopita.

Taarifa hiyo ilitolewa na msemaji wa  wizara ya mambo ya nje wa Urusi

Maria Zakharova alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari.

Shambulizi hilo lililenga  eneo  Deir Ez’zor Kaskazini mwa Syria.
Mpya zaidi Nzee zaidi