VIDEO: Baada Ya Zitto Kuwekwa Ndani, ACT Yafunguka Haya

Baada ya Kiongozi Mkuu wa Chama Cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe kukamatwa na Polisi na kuwekwa ndani wakati akiwa katika ziara ya kukagua miradi ya maendeleo katika kata ambazo Chama hicho kinaongoza. Leo Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana, Licapo Bakari Licapo amesema hawatorudishwa nyuma na kuwataka viongozi hao waendelee na ziara hizo bila kuogopa wala kutishwa.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi