VIDEO: Mauaji, Diwani Mwingine auawa kwa kukatwakatwa Mapanga

Diwani wa Kata ya Namawala wilayani Kilombero Mkoani Morogoro, Godfrey Luena (CHADEMA) ameuawa usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake kwa kukatwakatwa kwa mapanga na watu wasiojulikana, Kupitia Naibu katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika amesema kuwa wamesikitishwa na kitendo hicho na kuagiza viongozi na wanachama wote kujilinda na kuchukua hatua wanazozijua.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi