VIDEO: CHADEMA Yatoa Tahadhari, haitoonewa tena

Diwani wa Kata ya Sombetini, Arusha kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Ally Bananga amesema hawatokubali kuonewa tena na vyombo vy dola katika uchaguzi mdogo wa Ubunge unaotarajia kufanyika hivi karibuni katika majimbo ya Siha, Kilimanjaro na Kinondoni, Dar es Salaam, huku akiwataka wale waliopewa fedha na CCM kujiandikisha kupiga kura ilihali siyo wakazi wa maeneo hayo kuandika urithi kabisa kabla ya kwenda kupiga kura maana hawatokubali kuibiwa.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KUSUBSCRIBE


Mpya zaidi Nzee zaidi