https://monetag.com/?ref_id=TTIb VIDEO: Diamond Agawa Urithi Kwa wanae Baada ya Kuachana na Zari | Muungwana BLOG

VIDEO: Diamond Agawa Urithi Kwa wanae Baada ya Kuachana na Zari


Msanii wa bongo fleva Diamond platnumz baada ya kuachana na mama watoto wake zari, kutokana na kuwa na skendo mbali mbali za kimapenzi na wasanii tofauti akiwemo Hamisa mobetto amezaa nae mtoto  mmoja na hivi karibuni kuonekana katika picha ya mahaba na wema sepetu ambae alikuwa na mahuziano na e zamani, hivyo Diamond ameamua kuwapa urithi watoto wake wawili Nillan na Dully.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI USISAHAU...........USISAHAU  KUSUBSCRIBE............