Nyumbani BREAKING NEWS: Abdul Nondo afikishwa Mahakamani byMuungwana Blog 3 -3/21/2018 10:02:00 AM 0 Mwenyekiti wa Mtandao wa wanafunzi TSNP, Abdul Nondo amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya Iringa kusomewa mashtaka yanayomkabili. Mwanasheria wa TSNP amethibitisha taarifa hiyo. Facebook Twitter