VIDEO: ''Mnyika, Kubenea wasipokuja CCM wasahau Ubunge 2020" Katibu CCM


"Wabunge wa upinzani njia nyeupe na madirisha ya kuondoka yapo wasipofanya hivyo uchaguzi wa mwaka 2020 Ubunge watausilkia tu, yale yote waliokuwa wakiombea kura kwa wananchi Rais Magufuli anatekeleza na anafanya kazi nzuri na wananchi wanaona"  Katibu CCM

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi