Viongozi wa Chadema wameamua kuungana kwenda kusheherekea viongozi wao waliokuwa segerea kwaajili ya kuwatia moyo na kuonyesha umoja wao hayo yamesemwa na Patrick Sosopi maimu mwenyekiti wa BAVICHA
Vile vile amesisistiza kuwa majaribio yanayofanywa kuifuta chadema hayatawezekana, na kusema kuwa kuna mtu ambae anatumwa na serikali kwaajili ya kukichafua chama hiko cha upinzani.
Vile vile amesisistiza kuwa majaribio yanayofanywa kuifuta chadema hayatawezekana, na kusema kuwa kuna mtu ambae anatumwa na serikali kwaajili ya kukichafua chama hiko cha upinzani.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI................. USISAHAU KUSUBSCRIBE....................